04/09/2026
π°πΉπΏ KIKOSI CHA TAIFA STARS:
Nyota 7 wa Young Africans SC wametajwa kwenye kikosi cha awali cha timu ya Taifa, Taifa Stars kuelekea mechi za kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Guinea-Bissau & Madagascar, na mechi ya kirafiki dhidi ya Ghana. β
π§€ Hussein Masalanga
π‘οΈ Bakari Mwamnyeto
π‘οΈ Ibrahim Bacca
π‘οΈ Mohammed M***a
π‘οΈ Mohammed Hussein
βοΈ Mudathir Yahya
β½ Selemani Mwalimu
Kila la heri Wananchi wetu, nendeni mkaipeperushe vyema bendera ya Taifa! πΉπΏ