NURU Cinemax

NURU Cinemax Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NURU Cinemax, Cinema, Likoni majengo mapya, Mombasa.

Waaaah mashine nzito Bab kubwa  kwa jina Zege la Chuma aliye igiza k**a mtu muhuni,kibaka mwizi na mengi ya kuumiza mioy...
17/01/2023

Waaaah mashine nzito Bab kubwa kwa jina Zege la Chuma aliye igiza k**a mtu muhuni,kibaka mwizi na mengi ya kuumiza mioyo na kudhulumu katika mtaa aliye ogopewa na kila mtu mtaani

Mummy Shuu na Mulhat katika movie UNAUPONZA walioigiza k**a wahuni I say kuna habari motomoto,Je unadhani watafanikiwa m...
17/01/2023

Mummy Shuu na Mulhat katika movie UNAUPONZA walioigiza k**a wahuni I say kuna habari motomoto,
Je unadhani watafanikiwa mipango yao? hebu tuone

Hussein juma a.k.a. Mnyangu katika movie UNAUPONZA aliigiza k**a kijana flani mtanashati kutoka mjini  kuja kijijini gha...
17/01/2023

Hussein juma a.k.a. Mnyangu katika movie UNAUPONZA aliigiza k**a kijana flani mtanashati kutoka mjini kuja kijijini ghafla akakutana na wahuni kilichomkuta ni hivi acha niwape kionjo kilichomfanya kuwa mganga ingia pale YouTube@nurucinemax ujionee usiamini ya kuambiwa

Young Director Ally Mwafrika a.k.a Alwatan Kishente katika movie UNAUPONZA tayari iko YouTube inachotakiwa ingia pale Yo...
17/01/2023

Young Director Ally Mwafrika a.k.a Alwatan Kishente katika movie UNAUPONZA tayari iko YouTube inachotakiwa ingia pale YouTube search (NURUCINEMAX)kisha usisahau ku
Subscribe
Kulike
Kucomment na
Kushare
Kwa mengi zaidi tukutane katika episode mpya ya UNAUPONZA visa motomoto kma
Mapenzi
Mateso
Furaha
Usaliti
Umoja
Uwezo
Usanii na mengi ya kufurahisha

17/01/2023

Address

Likoni Majengo Mapya
Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NURU Cinemax posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category