Sports coner2

  • Home
  • Sports coner2

Sports coner2 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sports coner2, Cinema, .

23/08/2024

Kila mtu ana pesa tofauti ni kiwango tu.😀😀😀

Nani kaona K**a baleke amevaa pensi ya yanga?
11/07/2024

Nani kaona K**a baleke amevaa pensi ya yanga?

11/07/2024

Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitamin🏃🏃🏃

Shujaa hasaliti chama  na mwendo
30/05/2024

Shujaa hasaliti chama
na mwendo

K**a kuna timu imeshafikia hapa kwa Tanzania zaidi ya yanga nyosha kidole
23/03/2024

K**a kuna timu imeshafikia hapa kwa Tanzania zaidi ya yanga nyosha kidole

Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya kmc
29/12/2023

Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya kmc

Imeendaaaaaa
13/07/2023

Imeendaaaaaa

KOLO K**a KOLO wanadhani Kila timu Ina tamani kwenda kuweka kambi nje ya nchi, wanasahau kuwa miaka miwili yote wameenda...
03/07/2023

KOLO K**a KOLO wanadhani Kila timu Ina tamani kwenda kuweka kambi nje ya nchi, wanasahau kuwa miaka miwili yote wameenda huko na wameambulia patupu kwenye mashindano yote, ila timu hiyo hiyo ilioweka kambi avic town ndio imechukua makombe yote miaka yote miwili, Sasa faida ni ipi ya kuweka kambi nje ya nchi?
Ligi inachezwa Tanzania kwenye joto wewe unaenda kuwazoesha wachezaji kwenye nchi za baridi na baada ya hapo wanakuja kuchezea kwenye joto,
Kwa utahila wa makolo wanajua kuweka kambi nje ya nchi ndio kujua kuchezea mpila,yalivo matahila pia yanasema et yanga Haina hela ndio maana hawaendi nje ya nchi,
Sasa nyie nendeni Kisha tukutane msimu ujao hapa hapa bongo halafu muanze kulalamika bahasha mtakapoanza kuchezeshewa kichapo na yanga mliemuacha kambini avic

Baada kuona mateso ya mayele yamewazidia Ngada fc yamebakia yakilala yanamuota mayele yakiamka yanamuota mayele,Sasa kwa...
02/07/2023

Baada kuona mateso ya mayele yamewazidia Ngada fc yamebakia yakilala yanamuota mayele yakiamka yanamuota mayele,Sasa kwa taarifa yenu mateso yapo pale pale.

Nyie mwakarobo Onyango Sasa ametimiza barua3 za kutaka kuondoka ukoloni lakini Cha ajabu bado mnamng'ang'ania asiondoke ...
02/07/2023

Nyie mwakarobo Onyango Sasa ametimiza barua3 za kutaka kuondoka ukoloni lakini Cha ajabu bado mnamng'ang'ania asiondoke kwani mmerogwa aishie hapo kwenu? Muacheni akatafute changamoto pengine,mbona kwa feissl mlichanga mpaka bukubuku ili aondoke yanga? Inakuwaje kwa onyango au ndio msukule wenu? Kwani hamuwezi kupata mchezaji K**a onyango? Mkiambiwa nyie ni machizi mnalialia kuwa mmetukanwa Sasa muachieni onyango aende acheni kumnata mpaka ajutie kuja kwenu,amewachoka .

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports coner2 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed cinema?

Share