11/08/2026
Machine Gunner inafuata kikosi maalum cha kijeshi kinachoongozwa na Nikki Ransom,
Ambacho kinapewa kazi ya kumtafuta afisa wa zamani aliyekuwa amegeuka kuwa tishio π
Humo ndani ni balaa π₯π₯π₯