xhaldo_movies

  • Home
  • xhaldo_movies

xhaldo_movies Home Of Movies
•Series •Action •Comedy
�Review �

Movie: The Super Mario BrosGenres: Adventure, FantasyYear: 2023Rates: 7.2/10 IMDbNdugu Wawili Mario Na Luigi Walitamani ...
20/06/2023

Movie: The Super Mario Bros
Genres: Adventure, Fantasy
Year: 2023
Rates: 7.2/10 IMDb

Ndugu Wawili Mario Na Luigi Walitamani Siku Moja Waje Kuwa Mafundi Wakubwa Tu Na Mabomba. Siku Hiyo Baada Ya Bomba Kubwa Kupasuka Katika Mji Wao Waliamua Kujitolea Kushiriki Kutafuta Solution, Walifika Kwenye Main Source Ila Bahati Haikuwa Kwao Walijikuta Wakivutwa Kwenye Bomba Na Mario Alijikuta Kwenye Ardhi Ya Uyoga Inayomilikiwa Na Princess Peach,

Na Luigi Alijikuta Kwenye Ardhi Ya Giza Inayomilikiwa Na Mfalme Bowser. Mfalme Huyo Hakuwa Na Nia Nzuri Na Alitaka Kuibomoa Ardhi Ya Uyoga Na Amuoe Princess Peach. Princess Akafanikiwa Kujua Uvamizi Huo Na Kutokana Na Kesho Lake Kuwa Dogo Aliamua Kufunga Safari Kwenda Kuongezea Nguvu Kwa Mfalme Nyani "Cranky Kong" Na Wakapewa Jeshi Baada Ya Kushinda Mtihani Waliopewa.

Kazi Iliyobaki Ni Kwenda Kumtwanga Mfalme Bowser, Waliowahi Kucheza Game Lake Watakuwa Wanawafahamu Vizuri Mario Na Luigi

K**a Hujapata Bahati Ya Kuiona Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Ili Ikufikie Mpaka Ulipo!!

WhatsApp +255764413361

Movie: UnlockedYear: 2023Genres: Crime, Drama, Mystery Rates: 6.4/10 IMDbSiku Kadhaa Baada Ya Bidada Kupoteza Simu Yake ...
23/05/2023

Movie: Unlocked
Year: 2023
Genres: Crime, Drama, Mystery
Rates: 6.4/10 IMDb

Siku Kadhaa Baada Ya Bidada Kupoteza Simu Yake Ambayo Ilikuwa Na Vitu Vyake Muhimu Sana...

Anaipata Ila Anagundua Mtu Aliyeiokota Hakuwa Na Dhamira Ya Kawaida Tu Bali Alihack Na Kufatilia Kila Nyendo Za Bidada...

Sasa!! Mtu Huyo Ni Nani, Na Anataka Nini?

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Series: 13 Reasons WhyYear: 2017Genres: DramaRates: 7.5/10 IMDbClay Jensen Anapokea Cassette Tapes, Anazoambiwa Kuwa Zim...
23/05/2023

Series: 13 Reasons Why
Year: 2017
Genres: Drama
Rates: 7.5/10 IMDb

Clay Jensen Anapokea Cassette Tapes, Anazoambiwa Kuwa Zimetoka Kwa Hannah Baker. Hannah Baker Alikuwa Ni Mwanafunzi Mwenzake Ambaye Kwa Wakati Huo Alikuwa Ashafariki Kwa Kujiua Almost Wiki Mbili Zilizopita!!...

Swali Why Clay? Ofcourse Clay Alikuwa Ni Mshkaji Wa Hannah, Lakini Kwanini Yeye Na Sio Wazazi Wake...

Clay Alipoanza Kusikiliza Izo Tapes, Kumbe Ni Sauti Ya Hannah Ambayo Alikuwa Amejirecord Akifafanua Kwanini Ameamua Kujiua!! Na Tape Zilikuwa 13...

Complete Season 4 (49 Episodes)

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Movie: SharperYear: 2023Genres: Drama, Phychological Thriller Rates: 6.6/10 IMDb Max Ni Mwizi Ila Sio Mwizi Wa Kuku La H...
23/05/2023

Movie: Sharper
Year: 2023
Genres: Drama, Phychological Thriller
Rates: 6.6/10 IMDb

Max Ni Mwizi Ila Sio Mwizi Wa Kuku La Hasha!! Yeye Ana Deal Na Watu Wenye Pesa Bhana, Yaani Milionea Na Billionaire...

Sasa Uibaji Wake Sio Wa Kukurupuka Ni Mtumiaji Sana Wa Akili Plus Maigizo Yeye Na Washkaji Zake....

Aisee Ukitazama Hii Utaona Mwenyewe Kumbe Mtu Akiibiwa Mnasema Karogwa Eh! Ni Ufundi Na Kuzidiwa Akili Na Wezi 😁...

Fanya Ku Jump Nao 😇

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Movie: Stealing Raden SalehYear: 2022Genres: Action, DramaRates: 7.4/10 IMDbSo Dogo Ana Uwezo Wa Kuchora Ile Kinoma Noma...
23/05/2023

Movie: Stealing Raden Saleh
Year: 2022
Genres: Action, Drama
Rates: 7.4/10 IMDb

So Dogo Ana Uwezo Wa Kuchora Ile Kinoma Noma. Anapata Deal La Kuchora Moja Ya Picha Maarufu Sana Na Ya Kihistoria Nchini Indonesia Kwa Mkwanja Fulani Ivi Wa Maana Lakini Kumbe Ni Mtego!!...

Baada Ya Kuchora Na Kukabidhi Kazi, Wanapewa Kazi Nyingine Kwamba Inabidi Waende Kuiba Picha Halisi Yaani OG Alafu Wafanye Kureplace Na Iyo Ambayo Dogo Amechora....

Ubaya Sasa 😅 Picha Yenyewe OG Ipo Kwenye Ikulu Ya Nchi, Patamu Hapo...

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Movie: May Be I DoYear: 2023Genres: Comedy, DramaRates: 5/10 IMDbMichelle Na Allen Wana Date Bhana, Baada Ya Penzi Kunog...
23/05/2023

Movie: May Be I Do
Year: 2023
Genres: Comedy, Drama
Rates: 5/10 IMDb

Michelle Na Allen Wana Date Bhana, Baada Ya Penzi Kunoga Waliamua Kuaandaa Kikao Na Wazazi Wao Wa Pande Zote Mbili...

Sasa Bhana Siku Ya Tukio, Kumbe Wazazi Wao Wanajuana Eh, Wamejuana Vipi Oh Walishawahi Kuchepukiana Hapo Ndo Balaa Lenyewe 😁

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Series: FarziYear: 2023Genres: Crime, Thriller Rates: 8.6/10 IMDbBiashara Ya Familia Yao Kwenye Printing Imekuwa Ngumu, ...
23/05/2023

Series: Farzi
Year: 2023
Genres: Crime, Thriller
Rates: 8.6/10 IMDb

Biashara Ya Familia Yao Kwenye Printing Imekuwa Ngumu, Kila Akitumbukia Huku Na Huku Hali Inazidi Kuwa Ngumu Zaidi Alafu Sunny Alikuwa Na Kipaji Kikubwa Sana Cha Kuchora...

Anachora Kitu Mpaka Unahisi Kimepigwa Kopi Ya 3D. Akaunda Mpango Na Mwanae Anaitwa Firoz, Ya Kutengeneza Pesa Fake. Hiyo Fake Ni Fake Kweli Kweli Dadeki 😅...

Kitu Kikatiki, Pesa Fake Zikaanza Kusambaa Kinoma Noma, Polisi Wakaanza Kuwatafuta Wahusika Na Ma Gang Ya Kihuni Na Wao Wanawasaka Hao Watengenezaji Pesa Fake Maana Biashara Zao Zinaharibika Pia. Huo Mtafutano Sasa 😅

Series 1 Complete ✅ Episode 8 Tu Za Nguvu

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Movie: A Single ShotYear: 2013Genres: Thriller, CrimeRates: 5.7/10 IMDbMwamba John Moon Ni Mwamba Ambaye Maisha Yake Yam...
02/03/2023

Movie: A Single Shot
Year: 2013
Genres: Thriller, Crime
Rates: 5.7/10 IMDb

Mwamba John Moon Ni Mwamba Ambaye Maisha Yake Yamemuendea Mlama Ila "Yatapita" 😁 Ana Stress Ya Kukimbia Na Mkewe Na Mtoto...

Mwamba Malisho Yake Anayapata Kupitia Uwindaji Pembezoni Mwa Misitu Ya West Virginia. Siku Hiyo Haikuwa Ya Bahati Kwake Kwenye Uwindaji Wake Alimshoot Binti Na Kumuua Hapo Hapo, Katika Harakati Za Kujua Ilikuaje Ndipo Anapogundua Begi La Binti Lina Mkwanja Mrefu Tu...

Mwamba Anasepa Nazo, Bila Ya Kujali Binti Atakuwa Ametokea Wapi? Na Zile Pesa Kazitoa Wapi Na Anazipeleka Wapi?? Alikata Kona Kabla Ya Kona Dadeki 😅

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Movie: Bullet ProofYear: 2022Genres: ActionRates: 4.2/10 IMDb Mwamba Baada Ya Kufanikiwa Kuiba Hela Kwa Drug Dealers, Na...
02/03/2023

Movie: Bullet Proof
Year: 2022
Genres: Action
Rates: 4.2/10 IMDb

Mwamba Baada Ya Kufanikiwa Kuiba Hela Kwa Drug Dealers, Na Kusepa Na Gari Mojawapo. Anakuja Kushtuka Nyuma Ya Gari Kuna Binti Tena Ni Mjamzito...

So Yule Binti Anamuambia Kuwa Yeye Ni Mke Wa Huyo Drug Dealer Ila Ameamua Kumkimbia Amechoka Mateso Na Anataka Kurudi Kwao. So Mwamba Akaombwa Ampeleke Kwenye Motel Moja Ivi Then Kazi Yake Itakuwa Umeishia Hapo...

Alimfikisha Kwenye Motel Na Jamaa Kuondoka Ila Njiani Anakumbuka Binti Alisahau Mdori Wake Ndani Ya Gari, So Alirudi Tena Kwenye Motel Kumpatia Mdori Wake Na Huko Ndo Kasheshe Zilipoanza!! Kuna Msomali Yule Ni Nyoko 😅 Anabonda Mpaka Basi

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Series: SubmissionYear: 2016Genres: Drama, RomanceRates: 5.4/10 IMDbAshley Ni Msichana Mzuri So S*xy Yaani, Changamoto N...
02/03/2023

Series: Submission
Year: 2016
Genres: Drama, Romance
Rates: 5.4/10 IMDb

Ashley Ni Msichana Mzuri So S*xy Yaani, Changamoto Ni Moja Inayomsumbua Ni Hafurahii S*x Na Jamaa Yake...

Jamaa Kila Akikanyaga Mafuta We!! Lakini Kwa Bidada K**a Alikuwa Anaguswa Bega Na Hujimalizia Mwenyewe Kwa Ma********on...

Ashley Mzuka Unamzidi Zaidi Kwa Kuwa Alikuwa Anasoma "Erotic Novel" Mh Hatari 😅...

Mnaopenda Minyanduano Hii Inawahusu Mna La Kujifunza, Muongeze Ujuzi 😅

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Movie: Angel Has FallenYear: 2019Genres: Action, ThrillerRates: 6.4/10 IMDbMwamba Mike Banning Ni Mlinzi Wa Rais Aliyeam...
02/03/2023

Movie: Angel Has Fallen
Year: 2019
Genres: Action, Thriller
Rates: 6.4/10 IMDb

Mwamba Mike Banning Ni Mlinzi Wa Rais Aliyeaminika Sana. Sasa Kuna Siku Kuna Shambulizi Linamtokea Rais Kipindi Yupo Matembezi Na Walinzi Wote Walikufa Isipokuwa Yeye Na Rais...

Mwamba Alichezewa Patapotea Bila Kujua Na Kesi Ilimgeukia Mwenyewe, Na Akawa Na Mashtaka Ya Kujibu Kwanini Alitaka Kumuua Rais...

Kwanini Yeye!! Vifaa Vilivyotumika Kufanya Shambulizi Kulikuwa Na Fingerprint Za Mwamba Banning. Mwamba Anaamua Kuutafuta Ukweli Na Ndipo Kasheshe Zilipoanza Dadeki

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Movie: Blood FatherYear: 2016Genres: Action, CrimeRates: 6.4/10 IMDbKuna Binti Anaitwa Lydia Ambaye Alikuwa Anadate Na M...
02/03/2023

Movie: Blood Father
Year: 2016
Genres: Action, Crime
Rates: 6.4/10 IMDb

Kuna Binti Anaitwa Lydia Ambaye Alikuwa Anadate Na Muhuni Ivi Muuzaji Wa Dawa Za Kulevya 'Jonah', Baada Mtafaruko Na Kukorofishana Bibie Lydia Aliamua Kujitetea Kwa Kumshoot Jonah Na Bunduki Na Kukimbia...

Wahuni Wakaingia Kitaani Kumsaka Binti. Binti Nae Hakuwa Na Msaada Tena Zaidi Ya Kumpigia Simu Mdingi Wake 'John (Mel Gibson) Si Mnaujua Utata Wake. Hapo Wahuni Wakaisoma Namba Dadeki

Tucheki Kupitia WhatsApp Yetu Kwa Namba 0764 413 361

Address


Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 09:00 - 20:00

Telephone

+255764413361

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when xhaldo_movies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Cinema?

Share