Peace and Love

Peace and Love groupe cinématographiques PEACE AND LOVE

Anaogopaka sana kusheza scene za Uchawi 💀👹Kwene location tunasubuka sana 🤦 unaweza mushauri nini ? 🤷‍♂️
14/04/2026

Anaogopaka sana kusheza scene za Uchawi 💀👹
Kwene location tunasubuka sana 🤦 unaweza mushauri nini ? 🤷‍♂️

Gabri boy muzaka muzuka 👋Preparez-vous pour un nouveau filme de Peace and Love 🫵🎞️🤝
14/04/2026

Gabri boy muzaka muzuka 👋
Preparez-vous pour un nouveau filme de Peace and Love 🫵🎞️🤝

Anasikiyaka aibu sana kusheza scene za mapenzi ❤️🌹Anaitaji ushauri kutoka kwenyu 🙏
14/04/2026

Anasikiyaka aibu sana kusheza scene za mapenzi ❤️🌹
Anaitaji ushauri kutoka kwenyu 🙏

Wadada warembo wa groupe cinématographique Peace and Love wanawatakia siku njema 👋ADUI ….. 80% 🎞️
14/04/2026

Wadada warembo wa groupe cinématographique Peace and Love wanawatakia siku njema 👋
ADUI ….. 80% 🎞️

14/04/2026

Groupe cinématographique Peace and Love is back 🫵🕊️🤝
ADUI ….. 80%🎞️🎞️🎞️

Uvira watu wanatusauri tutowe yengine filamu mana wamependa sn kazi zetu 🎉Kwa iyo tuko muarakati zakuzama tena location ...
02/11/2025

Uvira watu wanatusauri tutowe yengine filamu mana wamependa sn kazi zetu 🎉
Kwa iyo tuko muarakati zakuzama tena location ku shoot yengine filamu kabla atujamaliza mwaka 2025 🤷‍♂️
Tunaitaji sapoty mana sisi wenye atutaweza 📑🙏

PCK
Kivu Music Act
Kivu flever

Filamu y’a vacance jo filamu peke y’a Uvira yene ilipata pakogeza mazuri sn na watu 🎞️🎥 tunatoa shukurani kwa watu wote ...
02/11/2025

Filamu y’a vacance jo filamu peke y’a Uvira yene ilipata pakogeza mazuri sn na watu 🎞️🎥 tunatoa shukurani kwa watu wote 🙏 k**a aujaiona Igiya YouTube adika vacance by peace and love 🧘‍♀️ Apo piga sim WhatsApp : 0976381332

Groupe cinématique Peace and Love inatoa shukurani kwa kiogozi wa organisation Ywam R.D.CONGO 🇨🇩 kwa ku accompagné jeune...
02/11/2025

Groupe cinématique Peace and Love inatoa shukurani kwa kiogozi wa organisation Ywam R.D.CONGO 🇨🇩 kwa ku accompagné jeunesse d’Uvira dans le cadre de cinéma 🎞️🎥🤝
Film : Vacance 🎞️

Merci beaucoup notre partenaire ATLAS MEDIA TV
18/10/2025

Merci beaucoup notre partenaire ATLAS MEDIA TV

KIKUNDI CHA FILAMU "PEACE AND LOVE" CHAZIDI SHAGAMUSHA UVIRA KWA FILAMU ZA KUELEMISHA JAMII

Uvira, DRC Kikundi cha wasanii wa filamu kinachoitwa Peace and Love kinazidi pandisha umaarufu katika mji wa Uvira kutokana na kazi zao za ki sasa zenye ujumbe mzito wa kuelimisha jamii, kukuza amani, na kuhimiza mshik**ano.

Kikundi hiki kinaundwa na vijana wenye vipaji vikubwa katika uandishi, uongozaji na uchezaji wa filamu, ambao wamejitolea kutumia filamu k**a chombo cha mabadiliko katika jamii. Kwa kutumia filamu. Peace and Love ime dowa cinema mupia inaitwa VACANCE
"Lengo letu ni kuelimisha na kugusa mioyo ya watu kupitia sanaa. Tunaamini filamu zinaweza kubadilisha fikra na maisha,

Mbali na kufanya filamu, kikundi hiki pia hushirikiana Kamavile AC CAMPANY CCU ATLAS MEDIA TV na mashirika ya kiraia na shule kuendesha mafunzo mafupi kwa vijana kuhusu utunzi wa ajili, uongozaji wa filamu, na uhariri wa video kwa lengo la kuwajengea uwezo na kuwapa mwelekeo wa maisha.

Peace and Love wanatoa wito kwa sapoti mbalimbali, ndani na nje ya Uvira.

Kwa kweli, vijana hawa ni mfano wa matumaini wakionesha kuwa sanaa inaweza kuwa daraja la kuelekea kwenye jamii iliyojaa upendo na amani.

mwandishi:PROTAIS TEMBO

Adresse

Uvira

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Peace and Love publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager

Type