22/03/2026
Tunayo furah kubwa kuwatangazia kwamba dada yetu anayejulikana kwa jina la , kuanzia leo amejiunga rasmi na kundi letu k**a msanii wa Ishara Classic Business "ICB"
Ni hatua muhimu na ya heshima kubwa kwetu kumpokea katika familia hii ya vipaji. Tuna amini uwepo wake utaongeza nguvu, ubunifu na mafanikio zaidi katika kazi zetu.
Karibuni sote tumlaki dada yetu Mirah kwa mikono miwili na moyo wa upendo, ili ajisikie nyumbani ndani ya familia yetu.
Karibu sana Mirah, pamoja tutafika mbali zaidi!